Imewekwa: August 24th, 2018
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeziagiza Halmashauri ambazo bado hazijakamilisha ujenzi wa Maabara za masomo ya Sayansi "fizikia, kemia na Baiolojia" kuendelea na ukamilishaji huo. Hayo ...
Imewekwa: August 24th, 2018
Mkoa wa Shinyanga umetajwa kuwa ni mmojawapo ya Mikoa yenye utoro uliokithiri kwa wanafunzi. Hayo yamebainishwa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2018 Ndg. Charles Francis Kabeho alipokuwa akitoa...
Imewekwa: August 24th, 2018
Umati wa Watumishi wa Halmashauri ya Mji Kahama waliojitokeza katika makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji cha Busenda Ushetu wameonesha 'mahaba' ya hali ya juu kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge ...