Imewekwa: September 13th, 2018
Kampuni ya Uchimbaji madini ya Acacia kupitia Mgodi wake wa dhahabu wa Buzwagi imekabidhi hundi yenye thamani ya Shilingi 650,479,914.38 kwa Halmashauri ya Mji wa Kahama ikiwa ni malipo ya ushuru wa h...
Imewekwa: September 4th, 2018
Jumla ya wanafunzi 6, 838 kutoka shule 94 zilizopo Halmashauri ya Mji wa Kahama wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya Msingi mwaka huu. Mtihani utafanyika kwa siku mbili kuanzia kesho tare...
Imewekwa: August 29th, 2018
Hatimae Halmashauri ya Mji wa Kahama imefunga Mkataba na Suma JKT wa kufanya ujenzi wa hospitali ya kisasa ya Mji. Mkataba huo umefungwa mapema leo kwa pande zote mbili kutia saini kumaanisha ku...