Imewekwa: March 11th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli asubuhi ya leo amezindua kiwanda cha kuchakata vyuma eneo la Nyasubi Wilayani Kahama. Akiwa kwenye uzinduzi huo Rais ameahidi kusi...
Imewekwa: March 10th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo amezindua barabara ya Isaka-Ushirombo yenye umbali wa KM 132. Uzinduzi huo umefanyika Mjini Kahama baada ya kuongea na ...
Imewekwa: March 10th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru wale wote waliovamia na kujenga eneo la chuo cha Maendeleo ya Jamii "MWANVA" cha Mjini Kahama kuendelea kuishi kati...