Imewekwa: November 3rd, 2017
Halmashauri ya Mji Kahama imeanza ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kata ya Iyenze. Ujenzi huu umekuja baada ya Serikali kuona haja ya kutanua wigo wa utoaji wa huduma ambazo kwenye zahanati zinakosekan...
Imewekwa: October 17th, 2017
Tarehe 14/10/2017 ni siku ambayo Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 zimehitimishwa rasmi visiwani Zanzibar, ambapo Halmashauri ya Mji Kahama imetangazwa kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge ...
Imewekwa: September 5th, 2017
Precsion Air imeanza rasmi safari zake Mji wa Kahama leo tarehe 5/9/2017. Hii ni hatua na fursa nyingine nzuri kwa Mji wa kahama kwani haitawalazimu tena wasafiri wa anga kwenda Mwanza kufuata n...