Imewekwa: February 9th, 2018
Halmashauri ya Mji Kahama ina mpango wa kufanya upanuzi wa Hospitali ya Wilaya, Ujenzi huo unatarajiwa kuanza mapema mwaka huu baada ya taratibu kukamilika
...
Imewekwa: February 8th, 2018
Halmashauri ya Mji Kahama leo imepokea hundi ya Kodi ya Huduma kutoka kwa ACACIA ikiwa ni malipo ya Robo ya pili Oktoba - Desemba 2017.
Acacia imekabidhi hundi ya shilingi milioni 924,881,819.78.&n...
Imewekwa: January 31st, 2018
Katika Mpangilio wa Ubora wa ufaulu kwa Halmashauri/Manispaa katika Mtihani wa Kidato cha nne (CSEE) 2017 uliotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania mapema leo, inaonesha Kuwa Halmashauri ya Mji Kahama...