• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Maji


IDARA YA MAJI

1.0 UTANGULIZI

 Idara ya maji ni moja kati ya Idara na Vitengo 18 za Halmashauri ya Mji wa Kahama na ilianzishwa rasmi Mwaka 2012.

2. Hali ya watumishi

Halmashauri ya Mji wa Kahama katika idara ya maji ina jumla ya watumishi 3 kati ya watumishi 7 wanaohitajika kulingana na mapendekezo ya Wizara ya Maji. Huduma ya maji Kijamii

Na
Watumishi/kundi
Ngazi ya elimu
Idadi
1
Mhandisi wa maji
Degree
1
2
Fundi sanifu
Diploma
2


Jumla
3

3.0 HALI YA HUDUMA YA MAJI

Miongozo na sera mbalimbali

Usimamizi na mipango yote ya utoaji wa huduma ya maji kwa wananchi inazingatia misingi muhimu ifuatayo.

  • Sera ya Taifa ya maji 2002.
  • Mwongozo wa WSDP II 2016
  • Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025.
  • Malengo ya Milenia.
  • Ilani ya uchaguzi chama Tawala (CCM) 2015
  • Miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali kwa ushirikiano na wadau wa maendeleo.
  • Mkakati wa kupunguza umaskini na kukuza uchumi (MKUKUTA).

 3.1 VYANZO VYA MAJI

Halmashauri ya Mji inahudumia Wananchi maji kutoka kwenye vyanzo vya maji ambavyo ni Ziwa Victoria, chemichemi na visima virefu & Virefu.

Hali ya mazingira ya vyanzo vya maji bado ni ya kuridhisha kwani vyanzo vyote bado vinaendelea kutoa maji japokuwa kuna changamoto ya kupungua kwa baadhi ya vyanzo kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi.

 

3.2 SHUGHULI ZA IDARA

Shughuli kuu zinazofanywa na Idara ni kutoa huduma ya Ushauri wa kitaalamu juu ya matumizi ya Maji, kuunda na kusimamia jumuiya za watumiaji Maji (COWSOs). Katika nyajza zifuatazo:.

  • Kusanifu na kujenga Miradi ya Maji
  • Uandaji wa Mipango, Bajeti na taarifa mbalimbali kwa kila wiki, Mwezi, Robo na Mwaka.
  • Usimamizi na kufanya tathmini ya miradi ya Maji

3.3 MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NA INAYONDELEA USHIRIKIANO NA WADAU WENGINE WA MAENDELEO

Miradi ya maji ya Vijiji 10 yenye thamani ya Tshs 437Millioni chini ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira Vijijini –RWSSP

  • Mradi wa maji wa Kisima Kirefu katika Vijiji vya Iponya na Kagongwa nyenye vituo 21 vya kuchotea Maji. Mradi ulikamilika Mwaka 2014 na kuanza kutoa huduma kwa wananchi na hadi kufikia Machi 2017, Idara ya Maji kwa kushirikiana wa Jumuiya ya Watumia maji KAGOIPO yenye jukumu la kutoa na kusimamia huduma ya Maji imeweza kuunganishia wateja 73 majumbani.

Miradi ya Maji iliyojengwa na Wadau Wengine 

  • Mradi wa Maji wa mtiririko na msukumo katika Kijiji cha Nyashimbi kata ya Mhongolo yenye wakazi 2400 kwa sense ya 2012. Ina jumla ya vituo vya kuchotea Maji 4 katika mitaa ya lubela, Ngihi, shuleni ya Msingi Nyashimbi na Mwanhulu pamoja na nywesheo la Ng’ombe ‘Cattle trough’ (Mwanhulu). Mradi huu ulikamilika mwaka 2014 na kukabidhiwa Jumuiya ya watumia Maji-Nyashimbi, pia unahudumia wakazi wapatao 1,107 .  Mradi huu ulitekelezwa na Mamlaka ya Maji Kahama-Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority (KASHWASA) kwa kushirikiana na Wizara ya Maji na Umwagiliaji (MoWI). Gharama za mradi ni Tshs 79,258,600.00
  • Mradi wa Maji wa mtiririko na msukumo katika Kijiji cha Magobeko kata ya Kinaga yenye wakazi 1556  kwa sense ya 2012. Ina jumla ya vituo vya kuchotea Maji 4 katika Vitogoji vya Mwangulu, Manonga, Magobeko Msingi Nyashimbi na Mwahemedi pamoja na nywesheo la Ng’ombe ‘Cattle trough’ (Manonga). Mradi huu ulikamilika mwaka 2014 na kukabidhiwa Jumuiya ya watumia Maji-Nyashimbi.  Mradi huu ulitekelezwa na Mamlaka ya Maji Kahama-Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority (KASHWASA) kwa kushirikiana na Wizara ya Maji na Umwagiliaji (MoWI). Gharama za mradi ni Tshs 115,574,300.00
  • Mradi wa Maji wa mtiririko na msukumo katika Shule ya Sekondari Busoka kata ya Busoka yenye wanafunzi 262 na walimu 25  kwa sense ya 2017.  Mradi huu umetekelezwa na Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) kwa ufadhili wa Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi kwa jumla ya 260Milioni

4.0 MIRADI TARAJIWA

Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wa Maji inatarajia kutekeleza miradi ifuatayo:

  • Mradi wa Maji katika Vijiji vya Zongomera, wigehe na Seeke katika kata ya Zongomera ina jumla ya vituo 13 vya kuchotea Maji chanzo chake ni Maji ziwa Victoria na yatachuliwa katika Tanki la Shunu. Usanifu wa mradi ulishakamilika. Baada ya kukamilka mradi huu unatarajia kuhudumia wakazi wapato 33,777.
  • Uchimbaji wa kisisma kirefu katika Kijiji cha Tumaini-Wendele. Utafiti wa chanzo kisima kirefu ulishafanyika.
  • Mradi wa kitaifa katika kata ya Kagongwa. Mradi huu utaratibiwa na wizara ya maji na Umwagiliaji (MoWI). Bomba kuu litachukuliwa katika Kijiji cha Igung’hwa kata ya Kinaga na kupeleka maji katika kata za Mwendakulima , Mhongolo, Mondo na Kagongwa. Vijiji vitakavyonufaika na bomba hili ni vyote vilivyo kando umbali wa kilomita 12. Kwa upande wa Kahama Mji vijiji hivyo ni Nyashimbi, Mwendakulima, Busalala, chapulwa, sangilwa, penzi, Mwanzwagi, Bumbiti, Gembe, Kagongwa, Kishima, Iponya, malenge, Bukooba, kidunyashi, Mpera na Isagehe. Mradi huu kwa upande wa Kahama Mji utaweza hudumia wakazi wapato 117,000

5.0 USAJILI WA VYOMBO HURU VYA WATUMIAJI MAJI (COWSOs)

Kulingana na sheria mpya ya maji ya mwaka 2009 miradi yote ya maji inabidi iundiwe vyombo huru vya watumiaji maji vitakavyopendekezwa na kukubaliwa na jamii husika kulingana na mwongozo na sheria za maji Na. 12 ya mwaka 2009.

Katika kutekeleza jukumu hilo Halmashauri imesha sajili Jumuiya za watumiaji maji 8 ambazo ni kama ifuatavyo:

Jina la Mradi
Jina la Kijiji linalohudumiwa  na Mradi
Teknolojia inayotumika kusuma 
Idadi ya vituo
Jina la Jumuiya
Kagongwa Water Scheme
Kagongwa and Iponya
Pumping/Electricity and Solar

21

KAGOIPO
Kinaga Water Scheme
Kinaga
Gravity/ Lake

1

Kinaga
Nduku Water Scheme
Nduku
Gravity/ Lake

3

Nduku
Nyashimbi Water Scheme
Nyashimbi
Gravity/ Lake

4

Nyashimbi
Mpera-Isagehe water scheme
Mpera, Isagehe and Kidunyashi
Pumping/Electricity

16

MPEISA
Ubilimbi Water Scheme
Ubilimbi
Gravity/ Lake

2

Ubilimbi
Igung'hwa water scheme
Igung'hwa
Gravity/ Lake

1

Igung'hwa
Magobeko water scheme
Magobeko water scheme
Gravity/ Lake

4

Magobeko

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO January 01, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 14, 2025
  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Naibu Meya Manispaa ya Kahama ahimiza Ulipaji wa Ankara za Hati

    April 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa