MAJUKUMU YA IDARA YA KILIMO
MALENGO YA KILIMO 2016/17
Mazao Makuu ya Chakula
|
Lengo Hekta
|
Matarajio ya mavuno(Tani)
|
Mahindi
|
16424
|
32840
|
Mpunga
|
15208
|
53228
|
Mtama
|
2100
|
2520
|
Mihogo
|
5030
|
15020
|
Viazi vitamu
|
4092
|
12276
|
Jumla ndogo
|
43020
|
11658
|
Mazao ya Biashara
|
|
|
Pamba
|
2244.2
|
3366.3
|
Alizeti
|
1250
|
1875
|
Dengu
|
280
|
224
|
Karanga
|
4228
|
6342
|
Jumla ndogo
|
8002.2
|
11807.3
|
Mazao ya Mikunde
|
|
|
Maharage
|
712
|
1068
|
Kunde
|
540
|
648
|
Choroko
|
50
|
40
|
Njugumawe
|
250
|
375
|
Jumla ndogo
|
1302
|
1756
|
JUMLA KUU
|
52408.2
|
129822.3
|
ENEO LA KILIMO
Katika Halmashauri ya mji wa kahama tuna jumla ya eneo lenye ukubwa wa Hekta za mraba 152016.1 ,Kati ya hizo Eneo linalofaa kwa Shuguli za kilimo ni hekta 71873.8
MIKAKATI YA IDARA
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa