IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Idara ya Mifugo na Uvuvi ni sekta ndani ya Halmashauri ya Mji inayojishughulisha na uendelezaji wa wanyama, jamii ya ndege wafugwao na samaki. Lengo kuu likiwa ni kuongeza na kuboresha uzalishaji wa Mifugo na mazao yake, sambamba na upatikanaji wa samaki kutoka ziwani na kwenye mabwawa ya kufugia samaki ili kuboresha lishe ya jamii na kutoa mchango katika kuinua uchumi wa jamii na Taifa kwa ujumla.
ENEO LAKUFUGIA
Sehemu kubwa ya eneo la Halmashauri ya Mji lina malisho hivyo linaruhusu ufugaji wa aina mbalimbali ya mifugo.Karibu asilimia 60 ya eneo hili inatumika kufugia isipokuwa kwenye maeneo ya makazi.
MIFUGO ILIYOPO
Kata
|
Ng’ombe
|
mbuzi
|
kondo
|
nguruwe
|
paka
|
kuku
|
bata
|
mbwa
|
punda
|
Nyasubi
|
375 |
254 |
191 |
268 |
- |
4472 |
118 |
547 |
-
|
Mhongolo
|
4,459 |
1389 |
161 |
682 |
102 |
10,101 |
472 |
682 |
19
|
Kilago
|
8,183 |
2,896 |
398 |
36 |
162 |
23,789 |
283 |
546 |
35
|
majengo
|
49 |
191 |
19 |
37 |
28 |
1374 |
27 |
13 |
7
|
Kagongwa
|
1412 |
130 |
57 |
280 |
64 |
1700 |
250 |
87 |
48
|
Zongomela
|
7,213 |
135 |
70 |
55 |
75 |
2307 |
85 |
47 |
50
|
Nyandekwa
|
7,637 |
1613 |
738 |
13 |
- |
1775 |
|
418 |
32
|
Kinaga
|
8,213 |
1151 |
652 |
- |
208 |
13261 |
131 |
79 |
35
|
Ngogwa
|
7,219 |
2504 |
68 |
62 |
57 |
2308 |
82 |
132 |
6
|
Wendele
|
9,889 |
564 |
53 |
18 |
21 |
1843 |
14 |
97 |
16
|
Isagehe
|
5,781 |
654 |
98 |
- |
34 |
3769 |
78 |
56 |
21
|
Mhungula
|
368 |
348 |
54 |
237 |
23 |
4573 |
97 |
43 |
26
|
Nyihogo
|
107 |
75 |
25 |
27 |
4 |
1967 |
31 |
7 |
8
|
Mondo
|
8,765 |
536 |
87 |
59 |
46 |
5572 |
52 |
123 |
83
|
Mwenda.kulima
|
6,213 |
685 |
56 |
13 |
31 |
3734 |
89 |
91 |
67
|
Kahama mjin
|
50 |
29 |
- |
94 |
- |
3875 |
28 |
16 |
3
|
Nyahaga
|
397 |
185 |
21 |
56 |
7 |
883 |
53 |
85 |
27
|
Busoka
|
5,217 |
784 |
74 |
46 |
12 |
947 |
63 |
81 |
14
|
Malunga
|
405 |
307 |
53 |
22 |
66 |
1008 |
47 |
70 |
16
|
Iyenze
|
8,743 |
2631 |
126 |
13 |
31 |
2341 |
64 |
86 |
36
|
JUMLA
|
90,695 |
4,860 |
3,001 |
2,018 |
971 |
91,599 |
2,064 |
3,306 |
481 663
|
Wanyama na ndege wengine wanaofugwa ni sungura, njiwa, bata muzinga, bata bukini na kanga hawa wanafugwa kwa kiwango kidogo sana ndani ya Halmshauri ya Mji.
SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA IDARA YA MIFUGO/UVUVI
Eneo linalostahili kwa malisho na ufugaji kwa ujumla ni Hekta za mraba 71,874. Eneo hili linatumika pia kwa kilimo kwani hakuna eneo lililotengwa rasmi kwa ufugaji.
Samaki wanaoingia kila siku
Jumla ya matenga 8 yenye uzito wa kilo 1,000 huingia kila siku katika soko la Namanga na kuuzwa.
UVUNAJI WA MIFUGO
Mikakati tuliyonayo ni kuhakikisha kuwa Halmashauri inakuwa na ufugaji wenye tija katika kujenga uchumi wa jamii na Taifa kwa ujumla.
Shughuli kuu iliyoko mbele yetu kwa sasa ni zoezi la kutambua na kusajili mifugo kupitia upigaji chapa kwa ng’ombe. Maandalizi yanaendelea
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa