• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Fedha na Biashara

IDARA YA FEDHA NA BIASHARA

Idara ya fedha na Biashara ni miongoni mwa idara za Halmashauri ya Mji  zinazounda timu ya menejementi ya Halmashauri ya Mji wa Kahama  ambayo inalojukumu la kutoa huduma bora mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa wananchi na wadau wake wa Kahama.Idara ya fedha na biashara inalo jukumu la msingi la kusimamia mapato na matumizi ya fedha za Halmashauri jukumu hili limejengwa na kusimamiwa  pia na sheria mbalimbali zinazoongoza utendaji kazi wa kila siku kwa kutumia sheria ya fedha namba 6 ya mwaka 2001 na marekebisho yake ya mwaka 2004,Sheria ya fedha ya serikali za mitaa CAP  290 ,Sheria ya bajeti namba.... ya mwaka 2015,Mwongozo wa fedha wa serikali za mitaa wa mwaka 2009 (The Local Authority Financial Memorundum of 2009) ,Sheria ndogo za Halmashauri pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali za Serikali zinazosimamia taratibu za fedha.

Katika kutekeleza majukumu yake Idara ya Fedha imegawanyika katika vitengo vikuu kama ifuatavyo:

  • Kitengo cha Mapato
  • Kitengo cha Matumizi
  • Kitengo cha Ufungaji hesabu za mwisho (Final Accounts)
  • Kitengo cha Mishahara
  • Kitengo cha Biashara

MAJUKUMU YA VITENGO

  • KITENGO CHA MAPATO
  • Kitengo hiki kinasimamia shughuli zote za ukusanyaji wa mapato kwa kushirikiana na Idara zenye vyanzo mbalimbali vya mapato kulingana na bajeti ya Halmashauri ya Mji.
  • Kinasimamia mfumo wa ukusanyaji mapato ya Halmashauri kieletroniki (Local Government Revenue Collection information system-LGRCIS) kwa kufanya yafuatayo:
  • Kutoa stakabadhi za kukiri mapokezi
  • Kutunza kumbukumbu zote za vyanzo vya Mapato ya Halmashauri
  • Kuandaa na kutoa taarifa za makusanyo ya mapato ya Halmashauri  kwa mwezi,Robo mwaka na Mwaka mzima.
  • KITENGO CHA MATUMIZI

Kitengo hiki kinasimamia shughuli zote zinazohusiana na malipo ya fedha za Halmashauri kama           vile:

  • Kuandaa hati  za malipo mbalimbali ya Watumishi,wazabuni,na taasisi mbali mbali zilizotoa huduma kwa Halmashauri .
  • Kusimamia na kutumia mfumo wa malipo wa kielectroniki  (IFMS-EPICOR SYSTEM)
  • Kutunza kumbukumbu za malipo yote yanayofanyika katika Halmashauri ya Mji Kahama.
  • KITENGO CHA MISHAHARA
  • Kitengo hiki kinashughulika na masuala ya urekebishaji na ulipaji wa mishahara ya watumishi kwa kushirikiana na idara ya  Utumishi
  • Kusimamia malipo yanayofanana na ajira kwa watumishi wa muda mfupi hasa wanaolipwa kutokana na mapato ya ndani ya Halmashauri.
  • KITENGO CHA UFUNGAJI HESABU ZA MWISHO (FINAL FINANCIAL STATEMENTS)
  • Kitengo hiki kinahusika na kuandaa taarifa za fedha za mwaka za Halmashauri (Final Financial Statements)
  • Kuandaa na kuweka vizuri kumbukumbu zote zinazohusiana na hesabu za Halmashauri ya Kahama Mji.
  • KITENGO CHA BIASHARA
  • Kitengo hiki ni maalumu kwa ajili ya kusimamia shughuli zote za biashara katika Halmashauri ya Kahama Mji kama vile:
  • Utoaji leseni zote za kibiashara
  • Kutoa ushauri katika masuala ya biashara
  • Usimamizi wa masuala ya utekelezaji wa sheria ya leseni za biashara namba.......ya mwaka 1972.

                 

MAJUKUMU YA AFISA BIASHARA .

  • Kuratibu na kusimamia  masuala yote ya biashara katika Halmashauri.
  • Mshauri Mkuu wa masuala ya Sheria za Biashara katika uendeshaji wa biashara.
  • Mratibu na Msimamizi wa shughuli za utoaji na ukaguzi wa leseni za biashara.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za sehemu ya Biashara kwa mwezi,robo na mwaka.
  • Kuandaa Mpango kazi na bajeti kwa Sehemu ya Biashara.
  • Kutoa tafsiri ya Sheria na miongozo ya maswala ya Biashara kutoka Serikali Kuu kuja Halmashauri.
  • Kusimamia kwa karibu na kutoa ushauri wa kitaalamu katika eneo la sekta isiyo rasmi.
  • Kuratibu, kukusanya na kutunza taarifa na takwimu zinazohusu masuala ya biashara.
  • Kusimamia utekelezaji wa shughuli za uendeshaji wa biashara na kuhakikisha kwamba viashiria vya utekelezaji vianafikiwa.
  • Utoaji wa leseni za usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda na bajaji) kwa mujibu wa SUMATRA.
  • Kufanya usajili wa taxi, Bajaji na  bodaboda zinazofanya biashara ndani ya Halmashauri.
  • Kufuatilia utekelezaji wa bei za mafuta zinazotolewa na EWURA
  • Ufuatiliaji wa bei za mazao katika masoko
  • Kuratibu maonyesho ya biashara ngazi ya Wilaya.
  • Kusimamia miradi inayotekelezwa kupitia Sehemu ya biashara.


MASHARTI YA KUPATA LESENI YA BIASHARA NA VILEO

Mtu yeyote raia wa Tanzania anayo haki ya kupatiwa leseni ya biashara

ambaye hajawahi kupatikana na kosa la jinai na awe na eneo la

kufanyia biashara linalokubalika kisheria.

Kwa mtu ambaye sio raia wa Tanzania anapaswa kuwa na kibali

kinachomruhusu kufanya biashara nchini kutoka Idara ya Uhamiaji.

 

 

UTARATIBU WA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Mwombaji anapaswa kujaza fomu ya maombi TFN 211 kikamilifu na

kuambatanisha kivuli cha:-

(i) Jina la Biashara kama sio mtu binafsi (Certificate of

     Incorporation or Registration).

(ii) “Memorandum and Article of Allocation” kama ni Kampuni

(iii) Pasipoti ya kusafiria, Cheti cha kuzaliwa au Hati ya

      kiapo kuonyesha kuwa ni Mtanzania na Mgeni Hati ya kuishi

ili mradi awe ametimiza umri wa miaka kumi na nane (18) mwenye akili

      nchini daraja la “A” (Residnece Permit Class “A”).

(iv) Hati ya kiuwakili (power of  Attorney) kama wenye hisa wote

      wa Kampuni wapo nje ya nchi.

(v) Ushahidi wa maandishi kuwa ana mahali pa  kufanyia biashara

     (Kwa mfano hati za nyumba, mkataba wa upangishaji, risiti za

      malipo ya kodi za majengo au ardhi.

(vi) Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi TRA (TIN).

(vii)Hati ya maandishi kuwa amelipia mapato (Tax Clearance Certificate)

Kwa leseni zinazodhibitiwa na Mamlaka mbalimbali , Kwa mfano (TFDA,

EWURA, TAURA, CRB, TIRA) n.k lazima mwombaji kuwa na leseni husika

Kabla ya kuomba leseni ya biashara

Baada ya kujaza fomu na kuambatamisha viambatanisho husika, maombi hupitishwa ngazi

zinazotakiwa kisheria – Ofisi ya Mtendaji wa Kata anakofanyia Biashara, Ofisi ya Mipango Miji na Ofisi ya Afisa Afya /Mfarmasia. Baada ya hapo form hiyo hurudishwa Ofisi ya Biashara tayari kwa kuanza mchakato wa kulipia leseni ambayo

hutolewa ndani ya siku moja au mbili na si zaidi.

 

 

 

 

 

MASHARTI YA UTUMIAJI WA LESENI

1. Mwenye leseni hataweka masharti yeyote kwa mnunuzi.

2. Mwenye leseni atatoa risiti kwa mauzo yote.

3. Mwenye leseni atafuata sheria ya leseni ya Biashara No. 25 ya 1972.

4. Mwenye leseni hatatoa huduma/bidhaa ambazo hazizingatii

    viwango vya ubora,uliowekwa na vyombo vinavyotumika kisheria.

5. Mwenye leseni anaweza kunyang`anyway leseni yake wakati wowote ikiwa

    itaonekana aliipata kwa njia ya udanganyifu au amekiuka msharti

    ya leseni.

 

MAKOSA

i. Kuendesha biashara bila leseni.

ii. Kuendesha biashara eneo tofauti na linaloonyeshwa kwenye

    leseni.

iii. Kutumia leseni moja kufanyia biashara zaidi ya moja au

     maeneo mawili au zaidi.

iv. Kushindwa kuonyesha leseni ya biashara inapotakiwa

     kufanya hivyo na Afisa aliyeidhinishwa na Serikali.

v. Kutokuweka leseni ya biashara mahali ambapo inaonekana

    kwa urahisi.

vi. Kutoa maelezo ya uongo ili kupata leseni au kukwepa kulipa

     ada/kodi inayostahili.

vii. Kumzuia Afisa wa Serikali aliyepewa mamlaka ya kukagua

      kufanya kazi yake.

ADHABU

Mtu yeyote anayetenda majawapo ya makosa hapo juu adhabu yake ni

faini isiyopungua Tshs. 50,000/= na isiyozidi Tshs. 100,000 au kifungo

kisichozidi miaka miwili (2) au faini na kifungo kwa pamoja.

LESENI ZA VILEO

Sheria ya leseni za vileo Na. 28 ya Mwaka 1968 na Marekebisho yake ya Mwaka 1982 imenyambulisha aina tisa za leseni za vileo

zinazoweza kutolewa chini ya sheria hii:

RETAILLERS ON LICENCE

Leseni hii humruhusu mwenye biashara kuuza pombe na kunywa eneo la

biashara

 

RETAILERS OFF LICENCE

Leseni hii haimruhusu mteja kunywea pombe eneo la biashara bali kwa Mteja

Hununuaji chake na kwenda kunywea majumbani (Take away) kama Groceries.

WHOLESALE LICENCE

Leseni hii inamruhusu mwenye leseni kuuza pombe kwa jumla

 

 

HOTEL LICENCE

Leseni hii humruhusu mwenye leseni kuuza pombe kwa ajili ya kunywea

katika eneo la biashara kwa watu waliopanga hotelini kwa wakati

wowote wa mchana na usiku

RESTAURANT LICENCE

Leseni hii inamruhusu mwenye leseni kuuza pombe kwa mtu yeyote

anayekula chakula katika mgahawa katika muda wa saa 6.00 mchana

hadi saa 8.00 mchana na saa 12.00 hadi saa 6.00 usiku.

MEMBERS CLUB LICENCE

Leseni hii huruhusu uuzaji wa pombe kwa kiasi chochote kwa

mwanachama wa Klabu na wageni wao tu

COMBINED LICENCE

Leseni ambazo zimeambatanishwa mbili kwa pamoja:

(a) Combined Hotel and retailers on

(b) Combined Hotel and Restaurant

(c) Combined restaurant and retailers on

TEMPORARY LICENCE

Leseni hii humruhusu mwenye leseni kuuza pombe katika sehemu

iliyotajwa kwenye leseni mahali penye burudani, starehe au mkusanyiko

mwingine kwa kipindi kisichozidi siku tatu

LOCAL LIQUOR LICENCE

 

Class A Local Liquor

Leseni hii humruhusu mwenye leseni kutengeneza pombe za kienyeji

katika sehemu iliyotajwa na kuuza kwa ajili ya kunywea sehemu ya

biashara au nje ya sehemu ya biashara

Class B Local Liquor

Leseni hii humruhusu kutengeneza pombe ya kienyeji sehemu iliyotajwa

na kwenda kuuzia sehemu nyingine iliyo na leseni ya kuuza pombe za

kienyeji

Class C Local Liquor

Leseni hii humruhusu kutengeneza pombe ya kienyeji katika sehemu

iliyotajwa kwenye leseni na kuuza kwa mwenye class D au Class E

Class D Local Liquor

Leseni hii humruhusu kuuza pombe za kienyeji katika sehemu iliyotajwa

kwenye leseni kwa kunywea eneo la biashara

Class E Local Liquor

Leseni hii humruhusu kuuza pombe za kienyeji kwa ajili ya kunywea

sehemu nyingine mbali ya eneo la biashara

1. MASHARTI YA KUPATA LESENI YA VILEO

Mtu yeyote raia wa Tanzania anayo haki ya kupatiwa leseni ya

Vileo ili mradi awe ametimiza umri wa miaka kumi na nane (18)

mwenye akili timamu ambaye hajawahi kupatikana na kosa la jinai na

awe na eneo la kufanyia biashara linalokubalika kisheria.

Kwa mtu ambaye sio raia wa Tanzania anapaswa kuwa na kibali

kinachomruhusu kufanya biashara nchini kutoka Idara ya Uhamiaji.

2. UTARATIBU WA KUPATA LESENI YA VILEO

  • Mwombaji hujaza fomu za maombi zinazotolewa na Ofisi ya Biashara na kuambatanisha na Hati ya maandishi kuwa amelipa kodi (Tax Clearance Certificate0.
  • Eneo/jengo linalokusudiwa kufanyia biashara hiyo kukaguliwa na

           Afisa Afya, Afisa Mipangomiji, Polisi, Afisa Mtendaji wa Kata (WDC)

           Afisa Biashara na hutoa maoni yao kwenye fomu

           husika

  • Maombi hayo hupelekwa katika kikao cha Mamlaka ya Utoaji wa Leseni za

           Vileo ya  kwa maamuzi

  • Mwombaji ambaye maombi yake yamepitishwa hupewa Leseni

            baada ya kulipa ada inayotakiwa na ni lazima awe amekamilisha

            masharti ya kupata leseni hapo juu

 

 

VIWANGO VYA ADA ZA LESENI YA VILEO

Viwango vya ada vinavyotumika kwa sasa kwa aina mbalimbali za leseni za vileo

ni kama zifuatavyo:-

1. Retailers On (Baa) -30,000/= hadi 40,000/=

2. Retailers Off (Grosary) - 20,000/= hadi 30,000/=

3. Wholesale (Jumla) - 10,000/= hadi 20,000/=

4. Members Club (Klabu Wanachama) - 10,000/= hadi 20,000/=

6. Temporary licence (Leseni ya muda) - 2,000/= hadi 4,000/=

8. Retailers Off non-spirituous - 7,000/= hadi 15,000/=

9. Retailers On – non-spirituous - 10,000/= hadi 15,000/=

10.A theatre licence – 10,000/= hadi  15,000/=

11.Propriator Club licence-  20,000/= hadi 40,000/=

12.A Club beer  licence – 10,000/= hadi 20,000/=

13.A Canteen Licence- 1,000/= hadi  5,000/=

14.Extension of hours – 10,000/= hadi  20,000/=

15.Transfer  or removal of licence -  1,000/= hadi 2,000/=

16. Application  fee – 1,000/= hadi  2,000/=

Mamlaka ya Vileo itaamua kiwango cha ada kitakachotozwa kati ya

kiwango cha chini na kile cha kima cha juu. Viwango vinavyotumika kwa

sasa ni vile vya kima cha juu kwa kila aina ya leseni.

 

3. MASHARTI YA UTUMIAJI

Leseni za vileo zina masharti mengi ikiwa ni pamoja na kutouza kilevi

kwa watoto. Masharti mengine ni muda wa kuuza pombe na kelele

za muziki.

MUDA WA KUUZA POMBE

 

BAA (RETAILERS ON)

  • Jumatatu hadi Ijumaa - Saa 10.00 jioni hadi saa 5.00 Usiku
  • Jumamosi, Jumapili na Sikukuu - Saa 5.00 asubuhi hadi saa 8.00

           mchana na saa 12.00 jioni hadi saa 6.00 usiku

GROSARI (RETAILERS OFF)

  • Jumatatu hadi Ijumaa - Saa 2.00 asubuhi hadi saa 1.00 jioni
  • Jumamosi, Jumapili na Sikukuu - Saa 3.00 asubuhi hadi saa 6.00 mchana

RESTAURANT LICENCE (MGAHAWA)

  • Jumatatu hadi Ijumaa - Saa 6.00 mchana hadi saa 8.00 mchana

            na saa 10.00 jioni hasi saa 5.00 usiku

  •  Jumamosi, Jumapili na Sikukuu - Saa 5.00 asubuhi hadi saa 8.00

            mchana na saa 12.00 jioni hadi saa 6.00

            usiku

MAKOSA

Baadhi ya makosa chini ya sheria hii:

  • Kuruhusu biashara nyingine isiyokubalika kisheria kufanyika eneo la

            biashara

  • Kuuza pombe kwa mtu mwenye umri chini ya miaka kumi na sita

           (16)

  • Kuajiri mtu chini ya miaka kumi na sita (16) kuuza pombe
  • Kuruhusu mtu mwenye umri chini ya miaka kumi na sita kukaa eneo

            la kuuzia pombe

  • Kutoweka leseni sehemu ya wazi, ambapo itaonekana kwa urahisi

            na wakaguzi

  •  kuleta fujo katika eneo la biashara
  • Kuruhusu eneo la biashara kutumika kama danguro
  •  pombe muda ambao ni kinyume cha sheria
  •  Kufanya biashara ya pombe kwa kutumia leseni ya vileo ambayo

            haistahili

ADHABU

Mfanyabiashara anayetenda mojawapo ya makosa haya akikamatwa,

atafikishwa mahakamani na akitiwa hatiani atalipa faini au kifungo au

adhabu zote kwa pamoja.

 

REGULATION  TO THE APPLICATION OF BUSINESS REGISTRATION ACT, MISCELLENOUS  AMENDMENT 2011 FIRST SCHEDULE: BUSINESS LICENCES  FEES.

S/NO
COLUMN 1
COLUMN II
PRINCIPAL
SUBSIDIARY
 
BUSINESS CATEGORY
DESCRIPTION OF BUSINESS
FEE FOR PRINCIPAL LICENCE
 FINANCE
FEE FOR SUB- LICENCE FINANCE
14.
Telecommunication Business
  • Internet Service Provider
  • Local
  • Foreign owned
  • Internet Services Provider Agent
  • Internet Surfing/Café
  • Attended telephone offices
  • Telecommunication services  including Fax, email, phones
  • Selling accessories
  • Cellularance telephone operators Local
  • Foreign owned
  • Payphone operators
  • 1 to 8 above (if operated in Rural Districts and Villages)
600,000/=
3000 USD
400,000/=
200,000/=
200,000/=
300,000/=
300,000/=
600,000/=
5000 USD
400,000/=
25% of the respective fee
400,000/=
1500 USD
200,000/=
100,000/=
100,000/=
200,000/=
200,000/=
400,000/=
2000 USD
200,000/=
25% of the respective fee
16.
Electronic Media
  • Radio and Television
  • Broadcasting television provider
  • Radio/television
  •      Transmission station
400,000/=
400,000/=
300,000/=
300,000/=
250,000/=
200,000/=
17
Processing and manufacturing of goods and selling
  • Small scale Industry
  • Medium scale industry
  • Large Scale industry
50,000/=
400,000/=
600,000/=
20,000/=
400,000/=
600,000/=
19.
Lotteries, Games and Amusement
  1.      Casino
  • (a) City of DSM
  • (b) Other Towns
 2.       Slot machines per station
  • Local
  • Foreign
  • Night Clubs
  • Entertainment Halls
40,000 USD
15,000 USD
300,000/=
1,000 USD
500,000/=
200,000
40.000 USD
15,000 USD
150,000
800 USD
200,000/=
150,000/=
20.
Tourists Businesses
  • Tourist Hotels
  • Lodge
  • Camp
  • Tourist operators
  • Local
  • Foreign
150,000/=
Plus 2000 Per bedroom150,000/=
100,000/= plus 3000/= per hut/cottage
100,000/=New
200.000/=
1,000 USD
 
21
Non – Tourist Hotels
  • With liquor Licence
  • Without liquor licence
  • Lodging Houses
  • Catering services
  • Take away
  • Mobile catering
  • Restaurant
  • (a) city/Municipal
  • (b) Town/District
  • (c)Village
100,000/=
Plus 1500= per bedroom
80,0000/= plus 2000/= per bedroom
100,000/= plus shs. 2000 per bedroom
100,000/=
100,000/=
100,000/=
80,000/=
10,000/=
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
22.
Exportation
        1. Cattle
  •    Other Livestock
  • 3.    Raw material
  • Agricultural goods
  • Finished goods and other commodities.
  • Transit   trade
  • Local
300,000/=
250,000/=
300,000/=
100,000/=
100,0000/=
300,000/=
200,000/=
150,000/=
200,000/=
80,000/=
80,0000/=
100,000/=
23.
Importation
Merchandizing
400,000/=
200,000/=
26.
Cooperative societies

40,000/=
20,000/=
27.
Building Contractors
  • Building Society
2.    Contractor Class  I
  • Contractor Class II
  • Contractor Class III
  • Contractor Class IV
  • Contractor Class V
  • Contractor Class VI
  • Contractor Class VII
100,000/=
1,000,000/=
800,000/=
700,000/
650,000/=
500,000/=
400,000/=
300,000/=
100,000/=
800,000/=
750,000/=
700.000/=
650,000/=
500,000/=
400,000/=
200,000/=
29.
General Trading
  • Caring on a Dispensary, health center, and Laboratory Clinic
  • Hospital
  • Selling Medicines retail
  • (a)Part I poison shop
  • (b) Part II poison Shop
  • Hardware and Building Materials retail
  • City/Municipal
  • District
  • Minor/Settlements & villages
  • Workshop& Garages
  • (a) City
  • (b)Municipal
  • (c) District
  • (d) Village
  • Bakeries
  • City/Municipal
  • District
  • Minor Settlement  Village
  • Timber and Furniture Retail
  • City/Municipal
  • District/town
  • Bookstore and stationery retail
  • City/Municipal
  • District/town
  • Minor Settlement and Village
  • Textile and Garments Retail
  • City/Municipal
  • District
  • Minor Settlement and Village
  • Silver and Gold Smith/Dealer
  • (a) City/Municipal
  • (b) District/Town
  • (c) Minor Settlement and Village
  • Flour/oil milling
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Livestock Trading
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Butchers
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Printing  and Publishing of Books and newspaper
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
80,000/=
150,000/=
200,000/=
100,000/=
200,000/=
150,000/=
60,000/=
150,000/=
120,000/=
100,000/=
30,000/=
100,000/=
80,000/=
30,000/=
200,000/=
100,000/=
100,000/=
80,000/=
20,000/=
150,000/=
100,000/=
50,000/=
300,000/=
250,000/=
100,000/=
50,000/=
30,000/=
20,000/=
150,000/=
80,000/=
25,000/=
80,000/= New
60,000/= New
10,000/=
400,000/=
250,000/=
50,000/=
100,000/=
100,000/=
80,000/=
150,000/=
100,000/=
50,000/=
100,000/=
100,000/=
100,000/=
30,000/=
50,000/=
30,000/=
30,000/=
100,000/=
50,000/=
80,000/=
50,000/=
20,000/=
100,000/=
50,000/=
50,000/=
200,000/=
200,000/=
80,000/=
50,000/=
20,000/=
15,000/=
100,000/=
40,000/=
10,000/=
50,000/=
40,000/=
10,000/=
250,000/=
200,000/=


  • (c)Minor Settlement and village
  • Petrol and Filling Stations:
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Kiosks/Groceries
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Hair Saloon/Barber shop
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Beauty Clinics machinery Tools
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Machinery Tools
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
  • Motor oils and Lubricants
  • a)      City/Municipality
  • (b)     District
  • (c)    Minor Settlement and
  •         Village
  • Selling of fish
  •  (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village
100,000/=
200,000/=
150,000/=
100,000/=
60,000/=
40,000/=
10,000/=
40,000/=
20,000/=
5,000/=
40,000/=
30,000/=
10,000/=
300,000/=
200,000/=
80,000/=
120,000/=
100,000
50,000/=
40,000/=
30,000/=
10,000/=
80,000/=
200,000/=
100,000/=
50,000/=
40,000/=
20,000/=
5,000/=
20,000/=
10,000/=
5,000/=
20,000/=
15,000/=
5,000/=
200,000/=
80,000/=
50,000/=
100,000/=
80,000/=
50,000/=
30,000/=
10,000/=
10,000/=


  • Tea Room
  • City/Municipality
  • District
  • Minor Settlement and village
  • Second based clothes (mitumba) dealers
  • Wholesale
  • Sub-wholesale
  • Retail
  •   City/Municipality
  •   Polity
  • District
  • Minor Settlement
  • Village
50,000/= New
25,000/= New
5,000/=
300,000/=
200,000/=
50,000/=
30,000/=
15,000/=
5,000/=
40,000/=
15,000/= New
5,000/=
200,000/=
100,000/=
30,000/=
20,000/=
10,000/=
5,000/=
30.
Auctioneers

150,000/=
100,000/=
31
Selling   Spare parts
  • Motor Vehicle
  • City Municipality
  • District
  • Minor Settlement and Village
  • Motor Cycles
  • City/Municipality
  • District
  • Minor Settlement and village
  • Bicycle
  • (a) City Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement
  • (d) Village
  • Industrial Spare and Tools
  • (a) City/Municipality
  • (b) District
  • (c)Minor Settlement and village.
300,000/=
250,000/=
30,000/=
120,000/=
80,000/=
40,000/=
50,000/=
30,000/=
10,000/=
5,000/=
300,000/=
250,000/=
100,000/=
200,000/=
150,000/=
30,000/=
100,000/=
50,000/=
30,000/=
30,000/=
20,000/=
10,000/=
5,000/=
200,000/=
150,000/=
50,000/=


  • Agricultural Implements, Flour Mills, Machines  spares
150,000/=
100,000/=


  • City/Municipality
  • District
  • Minor settlement and Village
60,000/=
20,000/=
30,000/=
10,000/=


  • Marine spares and tools:
  • City/Municipality
  • District
  • Minor Settlement and Village
250,000/=
200,000/=
50,000/=
150,000/=
100,000/=
25,000/=


7.   Domestic Appliances Retail
  • City/Municipality
  • District
  • Minor Settlement and Village
200,000/=
100,000/=
50,000/=
150,000/=
50,000/=
25,000/=


8. Electrical pause and or household items retail
  •  City/Municipality
  • District
  • Minor Settlement
  • Village
150,000/=
100,000/=
50,000/=
10,000/=
100,000/=
50,000/=
25,000/=
10,000/=
32.
Electrical Contractors
Local
  • Class A.
  • Class B
  • Class C
  • Class D
  • All foreign owned
500,000/=
300,000/=
200,000/=
100,000/=
6,000 USD
300,000/=
200,000/=
100,000/=
50,000/=
3000 USD
33.
General Merchandizing
  • By Whole Sale
  • By sub-Wholesale
  • Retail Shops
  • City/Municipality
  • District headquarters
  • Minor Settlement
  • Village
  • Super Markets
  • City
  • Municipality
  • District
  • Minor Settlement
  • Departmental Stones
  • City/Municipality
  • District
300,000/=
200,000/=
70,000/=
50,000/=
20,000/=
8,000/=
500,000/= New
200,000/=
100,000/=
75,000/=
400,000/=
200,000/=
200,000/=
150,000/=
40,000/=
30,000/=
15,000/=
8,000/=
300,000/=
150,000/=
100,000/=
75,000/=
300,000/=
200,000/=
34.
Endorsement on Transfer of Licences
  • City, Municipal, District, Minor, Settlement and Villages
10,000/=
10,000/=
35.
Duplicate Licence for Lost one
  • City, Municipal, District, Minor, Settlement and Villages
20,000/=
10,000/=
36.
Any other business not of National/International nature
  • City/Municipality
  • At District Headquarters
  • In Minor Settlement
  • At village
80,000/=
50,000/=
15,000/=
50,000/=
60,000/=
40,000/=
15,000/=
5,000/=
37.
Any other Business
National or International nature
  • Local (Tanzanian)
  • Foreign owned
200,000/=
2000 USD
100,000/=
1000 USD

 

 

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO January 01, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 14, 2025
  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Naibu Meya Manispaa ya Kahama ahimiza Ulipaji wa Ankara za Hati

    April 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa