Imewekwa: October 27th, 2022
Bi. Mayasa Semtibua ametuweka mbele kwa kushinda Fainali na kuwa Mshindi wa Kwanza Mashindano ya Karata kwenye Mashindano ya SHIMISEMITA. #TUTAVAAMEDANI
...
Imewekwa: October 27th, 2022
Tunaelekea Robo fainali baada ya kuifunga timu ya Mbeya DC 1-0. Tumefikisha point 12 na kuongoza kundi D lililokuwa na timu 6.
...