Imewekwa: April 13th, 2017
Baraza la Madiwani Mji wa Kahama limeazimia kuunda tume ya uchunguzi wa migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya Mji wa Kahama. Maazimio hayo yamefikiwa mapema leo kwenye siku ya pili ya kikao cha kawaida c...
Imewekwa: April 12th, 2017
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Kahama laazimia kuanza kuyatumia majengo yaliyokuwa yanatumiwa na Halmashauri ya Ushetu kwa ajili ya shughuli zake. Maazimio hayo yamefikiwa mapema leo kwenye kik...
Imewekwa: March 8th, 2017
Moja kati ya mambo yaliyowekewa mkazo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kahama ni Suala zima la elimu. Akiongea katika Maadhimisho hayo, aliyekuwa Mgeni Rasmi , Mkuu wa Wila...