Imewekwa: September 2nd, 2020
Katika uibuaji wa Miradi ya Maendeleo lazima Jamii husika ishirikishwe ili kuleta dhana ya umiliki wa Mradi. Hapa ni timu ya Wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Kahama wakiongea na Wana jamii katik...
Imewekwa: August 8th, 2020
Halmashauri ya Mji wa Kahama imetoa Mshindi wa Kwanza Kitaifa kwenye ufugaji wa Kisasa wa Ng'ombe wa Kisasa wa Maiwa kwenye Maonesho ya Nanenane 2020 yaliyofanyika Mkoani Simiyu. Mshindi huyo ni Bw. T...
Imewekwa: August 1st, 2020
Jionee Picha mbalimbali za wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Kahama kwenye maonesho ya Nanenane 2020 Mkoani Simiyu:
Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akipewa maelezo na Mtaalamu Bi...