Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kushirikiana na asasi binafsi ya TAPO imeadhimisha siku ya kichaa cha Mbwa Duniani kwa kutoa chanjo ya kichaa cha Mbwa bure kwa wafugaji.
Chanjo hiyo inatolewa kwenye viwanja vya Magereza vilivyopo mjini Kahama kuanzia saa mbili asubuhi.
Siku ya kichaa cha mbwa huadhimishwa tarehe 28 Septemba ya Kila Mwaka.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa