Imewekwa: September 5th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha amewaasa Wanachi wa Wilaya hiyo kukata Bima ya Afya ya Jamii ya CHF iliyoboreshwa kabla hawajaugua kwani hawajui Muda watakaokutwa na matatizo.
Ameyase...
Imewekwa: August 30th, 2019
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi leo ametembelea eneo la ujenzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje "OPD" kwenye Hospitali ya Mji wa Kahama na kuridhishwa na Kasi ya ujenzi ...
Imewekwa: August 13th, 2019
Diwani wa Kata ya Kinaga Mhe. Mary Manyambo leo amechaguliwa kuendelea kushikilia nafasi ya Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.
Uchaguzi huo umefanyika mapema leo mara baada ya Kikao...