Imewekwa: November 1st, 2022
Kikao cha Kawaida cha Baraza pa Madiwani Robo ya Kwanza Julai -Septemba kimefanyika leo kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Kahama.
...
Imewekwa: November 1st, 2022
Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na Halmashauri ya Mji wa Kibaha wamefika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kwa lengo la kujifunza namna Halmashauri hiyo inavyotekeleza Miradi ya Maendele...