Imewekwa: October 16th, 2018
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi msaada wa Vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 36.5 kwa ajili ya vituo vya afya na zahanati sita zilizopo ...
Imewekwa: October 13th, 2018
Uongozi wa Hospitali ya Mji wa Kahama na Ofisi ya Ustawi wa Jamii inamuenzi Baba wa Taifa kwa kutoa huduma ya vipimo bure kwa wazee. Huduma hii ni ya siku mbili kuanzia leo na kumalizika kesho Oktoba ...
Imewekwa: October 11th, 2018
Oktoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Kwa Halmashauri ya Mji wa Kahama maadhimisho haya yamefanyika Kata...