Imewekwa: October 25th, 2022
Kesho hatoki mtu, alama 3 muhimu ili tujiweke kwenye Mazingira ya kuingia Robo fainali ya mashindano ya SHIMISEMITA, Ndugu zetu wa @mlimba.dc mtatusamehe kwakweli.
...
Imewekwa: October 25th, 2022
Mkurugenzi wa Mashindano TFF Ndg. Salum Madadi na timu ya viongozi wa Mpira Wilaya ya Kahama Mwishoni mwa Wiki iliyopita walifika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama na kujadili uwezekano wa kub...