Imewekwa: March 10th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru wale wote waliovamia na kujenga eneo la chuo cha Maendeleo ya Jamii "MWANVA" cha Mjini Kahama kuendelea kuishi kati...
Imewekwa: March 9th, 2018
Wanawake wa Halmashauri ya Mji Kahama wamezindua jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi. Uzinduzi huo umefanyika jana Tarehe 08.03.2018, Siku ya Wanawake Duniani kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Ka...
Imewekwa: March 8th, 2018
Wanawake wa Mji wa Kahama wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda miti kuzunguka kituo cha afya Iyenze kilichopo Kata ya Iyenze Wilayani Kahama. Zaidi ya miche elfu mbili ya miti ya Matunda...