Imewekwa: December 10th, 2020
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Kahama wameapishwa leo tayari kwa kuanza kazi yao ya uwakilishi wa wananchi.
Baadhi ya picha za tukio hilo hizi hapa:
...
Imewekwa: December 7th, 2020
Mkurugenzi wa Mji wa Kahama Ndg Anderson Msumba amefurahishwa na wananchi wa kijiji cha penzi kata ya Mondo waliokua wakijitolea kutengeneza barabara kwa majembe ya mkono mapema leo. Msumba Ameseme hu...
Imewekwa: December 7th, 2020
Wakulima wa Halmashauri ya Mji wa Kahama wamenufaika na Pembejeo za Kilimo za ruzuku zilizogawiwa na Halmashauri hiyo mapema leo.
Akiongea wakati wa kukabidhi pembejeo hizo Mkurugenzi wa Mji ...