Imewekwa: July 5th, 2019
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa ametoa siku 10 mradi wa maji wa Kagogwa Isagehe Halmashauri ya Mji wa Kahama kukamilika. Amesema hayo mapema leo alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo wa M...
Imewekwa: July 3rd, 2019
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba ameridhishwa na kazi zinazofanywa na Shirika lisilo la kiserikali la Farm Concern International ndani ya Halmashauri ya Mji wa Kahama.
...
Imewekwa: July 2nd, 2019
Ofisi ya Rais Idara ya Utawala bora na Maboresho, Uratibu na Udhibiti wa Uadilifu wa Watumishi wa Umma imetoa mafunzo kwa wakuu wa idara na wasaidizi wao wa Halmashauri ya Mji wa Kahama juu ya uratibu...