Imewekwa: January 24th, 2019
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba ametimiza ahadi yake aliyoitoa Juni 2018 ya kuwapa msaada wa pembejeo vijana wote wenye nia ya kujiajiri katika Kilimo. Ahadi hiyo ...
Imewekwa: January 14th, 2019
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Ndg. Albert Msovela amesema utumishi wa uma unahitaji uadilifu wa hali ya juu na weledi. Ameyasema hayo Ijumaa ya Tarehe 11 Januari, 2019 alipokuwa akizungumza na kamat...
Imewekwa: January 14th, 2019
Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Ukanda wa Kitropiki (TPRI) imeendesha mafunzo kwa wakulima na wataalamu wa Kilimo wa Halmashuri ya Mji wa Kahama.
Mafunzo hayo ya Siku Moja yamefanyikia kwen...