Imewekwa: October 7th, 2020
Benki ya CRDB kanda ya magharibi imetoa msaada wa viti na meza 88 katika shule ya Sekondari Kitwana Wilayani Kahama mkoani Shinyanga ikiwa ni muendelezo wa kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja iliyo...
Imewekwa: September 8th, 2020
Timu ya Wataalamu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama (CMT) ikiongozwa na Mkurugenzi wa Mji Ndg. Anderson Msumba imeamua kuendesha baadhi ya Vikao vyake vya Mwezi kwenye maeneo ya Shule ambako kuna changa...
Imewekwa: September 2nd, 2020
Katika uibuaji wa Miradi ya Maendeleo lazima Jamii husika ishirikishwe ili kuleta dhana ya umiliki wa Mradi. Hapa ni timu ya Wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Kahama wakiongea na Wana jamii katik...