Imewekwa: March 12th, 2018
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kimefanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama huku waalikwa wakifunguka katika kuhoji na kushauri masuala ya maendeleo ya Wilaya. Kubwa ...
Imewekwa: March 11th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli asubuhi ya leo amezindua kiwanda cha kuchakata vyuma eneo la Nyasubi Wilayani Kahama. Akiwa kwenye uzinduzi huo Rais ameahidi kusi...
Imewekwa: March 10th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo amezindua barabara ya Isaka-Ushirombo yenye umbali wa KM 132. Uzinduzi huo umefanyika Mjini Kahama baada ya kuongea na ...