Imewekwa: February 3rd, 2021
Kijana Idriss Mohamed Yusuph "Msomali" anayeishi Manispaa ya Kahama mapema leo ametoa mchango wa Madawati 20 Shule ya Msingi Kahama.
...
Imewekwa: February 3rd, 2021
Katika kuunga mkono jitihada za Serikali, Wafanya biashara VIJANA wa Manispaa ya Kahama wajitokeza Kujenga Darasa Moja Shule ya Msingi Nyasubi...
Imewekwa: February 1st, 2021
Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wanakupa hongera Ndg. Anderson David Msumba Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa Uongozi wako wenye matokeo Chanya.
...