Imewekwa: May 7th, 2020
Halmashauri ya Mji wa Kahama imetoa Sadaka kwaajili ya Iftari na Daku kwa Waislam waliopo kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu.
Sadaka hiyo imetolewa Mapema leo kwenye Ofisi za Baraza la Waislam Ta...
Imewekwa: April 8th, 2020
Mgodi wa Dhahabu wa Barrick Buzwagi umeamua kushirikiana na Serikali katika kupambana na Ugonjwa wa Corona kwa kukabidhi mapipa ya kunawia mikono na kusaidia utoaji elimu kwa umma.
Makabidhiano ya ...