Imewekwa: December 2nd, 2019
Wenyeviti wa Vijiji, Mitaa na Wajumbe waliochaguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kahama wameapishwa Leo katika ukumbi wa Halmashauri. Jionee Baadhi ya Picha za Tukio hil...
Imewekwa: December 1st, 2019
Halmashauri ya Mji wa Kahama imeadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa kutoa mafunzo kwa watumishi na wadau wanaotekeleza afua za UKIMWI juu ya upimaji mpya wa Index. Upimaji wa Index ni Upimaji wa kumd...
Imewekwa: November 27th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo amesalimiana na Wana Kahama waliojitokeza Barabarani kumlaki.
Mhe. Rais amepata fursa ya kusikiliza kero za wananchi...