Imewekwa: August 12th, 2017
Halmashauri ya Mji Kahama imeunda kamati ya Chakula na Dawa (TFDA) ambayo inaundwa na wajumbe 9 ambao ni:
1. Mkurugenzi wa Halmashauri (Mwenyekiti),
2. Mganga Mkuu wa Halmashuri (Katibu),&...
Imewekwa: July 15th, 2017
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2017 Ndg. Amour Hamad Amour amesisitiza kuwepo kwa amani, Upendo, utulivu na Kujituma kuchapa kazi ili kuweza kufikia azma ya kuleta maendeleo.
Amesema h...
Imewekwa: July 15th, 2017
Mwenge wa Uhuru 2017 katika Halmashauri ya Mji Kahama umepokelewa leo tarehe 15/07/2017,Ukiwa Halmashauri ya Mji Kahama, Mwenge wa Uhuru umekimbizwa umbali wa Km 55.8, katika Kata 13, vijiji 2 na mita...