Imewekwa: June 11th, 2019
Serikali Wilayani Kahama imetoa taarifa ya uwepo wa Ugonjwa wa miguu na midomo unaoathiri mifugo jamii ya Ng'ombe. Haya yamebainishwa kwenye Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya...
Imewekwa: June 7th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha ameagiza kuwa suala la usafi kwa sasa liwe la kilasiku badala ya kusubiri kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ili kuweka mazingira safi.
Agizo  ...
Imewekwa: June 1st, 2019
Halmashauri ya Mji wa Kahama imezindua maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya maonesho ya Mifuko mbadala na kukaribisha wadau kuchangamkia fursa za mifuko hiyo.
Uzinduzi huo umefanyik...