Imewekwa: August 30th, 2019
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi leo ametembelea eneo la ujenzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje "OPD" kwenye Hospitali ya Mji wa Kahama na kuridhishwa na Kasi ya ujenzi ...
Imewekwa: August 13th, 2019
Diwani wa Kata ya Kinaga Mhe. Mary Manyambo leo amechaguliwa kuendelea kushikilia nafasi ya Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.
Uchaguzi huo umefanyika mapema leo mara baada ya Kikao...
Imewekwa: August 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria wote walioshiriki kuuza eneo la Chuo cha Ufundi "MWAMVA" kilichopo Mjini Kahama baada ya agizo la Mhe. Rais la kutak...