Imewekwa: January 4th, 2018
Baraza la Wafanyakazi Halmashauri ya Mji Kahama limepitia na Kushauri rasimu ya Bajeti ya Halmashauri ya 2018/2019. Baraza hilo limefanyika mapema leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama.
Ka...
Imewekwa: January 4th, 2018
Halmashauri ya Mji Kahama yazindua Baraza la Wafanyakazi na kuchagua Viongozi wa baraza hilo. Uzinduzi huo umefanyika leo Tarehe 04/01/2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama na kushuhudiwa na...
Imewekwa: December 20th, 2017
Halmashauri ya Mji Kahama imewapatia Pikipiki maafisa Ugani na watendaji wa Mtaa/Vijiji iili kuwasaidia katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Tukio hilo limefanyika leo Tarehe 20.12.2017 ka...