Imewekwa: October 15th, 2022
Ujenzi wa Madarasa ya kuwapokea Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2023 umeanza. Huu ni msingi wa Madarasa 10 kwenye shule ya Sekondari Nyashimbi.
...
Imewekwa: October 15th, 2022
Kituo cha Afya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kinajengwa kwa Kutumia fedha zinazotokana na Tozo za Miamala ya Simu. Milioni Mia tano zimepokelewa kuhakikisha Kituo cha Afya Kinajengwa na kuk...