Muonekano wa hatua iliyopo ya Ujenzi wa Jengo la Uchunguzi wa Wagonjwa "Diagnostic Center" kwenye Hospitali ya Manispaa ya Kahama. Jengo hili ni la ghorofa moja na likikamilika litatoa huduma zote za kiuchunguzi kwa Wagonjwa kuanzia X-ray, Ultrasound, Maabara n.k
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa