Imewekwa: September 5th, 2019
Kamati ya Kupinga Ukatili wa Wanawake na Watoto ya Halmashauri ya Mji wa Kahama imejengewa uwezo kwa kupewa mafunzo ili iweze kusimamia majukumu yake ya msingi.
Mafunzo hayo yamefanyika mapema jana...
Imewekwa: September 5th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha ametoa onyo kwa wafugaji wanaoiachia mifugo yao kutembea mitaani kwani ni kinyume na sheria za Miji.
Ametoa onyo hilo alipokuwa akiongea na wananchi wa...
Imewekwa: September 5th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha amewaasa Wanachi wa Wilaya hiyo kukata Bima ya Afya ya Jamii ya CHF iliyoboreshwa kabla hawajaugua kwani hawajui Muda watakaokutwa na matatizo.
Ameyase...