Imewekwa: July 20th, 2020
Maafisa wawezeshaji wa TASAF Halmashauri ya Mji wa Kahama wametakiwa kuwa waadilifu wakati wa zoezi la uhakiki wa Kaya za Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) katika utekelezaji ...
Imewekwa: July 15th, 2020
Kampuni ya uchimbaji madini ya Twiga Minerals Corporation kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Barrick Buzwagi imekabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.15 (1,159,817,107.83/=) kwa halmashauri ...
Imewekwa: June 1st, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha mapema leo amekutana na wanafunzi wa kidato cha Sita ambao ndio wameripoti kwa siku ya kwanza kutoka walikokuwa kwenye likizo iliyotokana na changamoto ya...