Mkurugenzi wa Mji wa Kahama Ndg Anderson Msumba amefurahishwa na wananchi wa kijiji cha penzi kata ya Mondo waliokua wakijitolea kutengeneza barabara kwa majembe ya mkono mapema leo. Msumba Ameseme huo ndo mfano wa kuigwa na jamii zingine na amewaahidi kupeleka usaidizi wa moram katika kuwaunga mkono pia amemuagiza Mhandisi wa Mji na timu ya wataalamu kusimamia kusambaza kifusi cha Moram.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa