Imewekwa: November 16th, 2020
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo "TARI" leo imeanza mafunzo ya Siku tatu ya Kilimo kwa Maafisa Ugani wote wa Halmashauri za Mkoa wa Shinyanga juu ya uzalishaji wa zao la Dengu, Alizeti na Pamba.
...
Imewekwa: November 12th, 2020
Ratiba ya Vikao vya Timu ya Wataalamu "CMT" Halmashauri ya Mji wa Kahama imeendelea na leo ilikua zamu ya Shule ya Msingi Chalya iliyopo Kata ya Nyandekwa Wilayani Kahama.
Kati ya mambo mengi...