Kamati ya Elimu, Afya na Uchumi ya Halmashauri ya Mji wa Kahama leo imefanya ziara ya kutembelea maeneo yanayotekeleza miradi ya Maendeleo ndani ya Mji wa Kahama na kufanya kikao chake cha kawaida cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa