Imewekwa: April 20th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Fadhili Nkurlu amefungua Kikao cha Kamati ya Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi Wilaya ya Kahama ambacho kimefanyika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kahama mapema leo.
...
Imewekwa: April 20th, 2018
Benki ya NMB Kahama imetoa vifaa vya ujenzi wa Madarasa vyenye thamani ya Milioni kumi za ki-Tanzania ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali ya kuinua na kuboresha mazingira ya kutolea h...
Imewekwa: April 19th, 2018
Benki ya Posta Tanzania "TPB" Wilayani Kahama imechangia maendeleo ya elimu kwa kutoa Madawati 50 na Viti 50 kwenye Shule ya Sekondari Nyashimbi iliyopo Halmashauri ya Mji Kahama. Makabidhiano hayo ya...