Imewekwa: November 10th, 2017
Maafisa Elimu Mji wa Kahama wafanya tathmini ya Umuhimu wa madarasa ya Utayari. Tathmini hiyo inafanywa kwa kupitia shule zote zenye vituo vya utayari na kuongea na walimu wa vituo hivyo, wazazi na vi...
Imewekwa: November 8th, 2017
Serikali Mkoa wa Shinyanga imewatoa hofu wananchi waliojiunga na watakaojiunga na Bima ya Afya ya CHF Iliyoboreshwa kwa kuwahakikishia kuwa huduma za kiafya zitaboreshwa wakati wote. Hayo yamesemwa na...
Imewekwa: November 8th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Tellack Leo ametembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya katika kata ya Iyenze Halmashauri ya Mji Kahama. Akiwa katika eneo la ujenzi Mkuu wa Mkoa amesisitiza u...