Imewekwa: June 7th, 2018
Halmashauri ya Mji wa Kahama yakusudia kujenga kituo kipya cha Mabasi. Kituo hiko kinatarajiwa kujengwa maeneo ya Mbulu. Jionee michoro na muonekano wake.
...
Imewekwa: June 6th, 2018
Timu ya Ukaguzi wa ujenzi wa Vituo vya afya yaridhishwa na ujenzi Kituo cha Afya Iyenze Kilichopo Halmashauri ya Mji wa Kahama. Timu hiyo imefika mapema leo ikiongozwa na Dkt. Athumani Pembe kutoka Of...
Imewekwa: May 18th, 2018
Ujenzi wa Bweni la Wanafunzi Shule ya Sekondari Mwendakulima Mjini Kahama umekamilika huku Mgodi wa ACACIA- Buzwagi ukifadhili ujenzi huo kwa asilimia 100. Jumla ya fedha za kitanzania 582,333,708 zim...