Imewekwa: October 16th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kungu Kadogosa Leo amepata wasaa wa kuzungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la Mji wa Kahama, kubwa likiwa ni uwezekano wa Kaha...
Imewekwa: October 16th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Anamringi Macha mapema leo amefungua kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi ambapo mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuanza kwa Kampeni ya Chanjo ya Surua, Rubella na Polio i...
Imewekwa: October 13th, 2019
Wana Kahama wametakiwa kutumia muda ulioongezwa wa siku tatu kwa ajili ya kujiandikisha katika orodha ya daftari la wapiga kura ili kuweza kupata haki yao ya msingi ya kikatiba ya kugombea...