Imewekwa: February 11th, 2020
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba mapema leo amefanya kikao na Viongozi wa Chama na Serikali wanaounda kamati ya Maendeleo ya Kata waliopo Kata ya Nyandekwa. Katika kikao...
Imewekwa: February 10th, 2020
Halmashauri ya Mji wa Kahama imemwagiwa sifa na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Shinyanga Kwa kuweza kutekeleza Ilani ya Uchaguzi kwa kiwango kikubwa.
Sifa hizo zimetolewa leo wakati Kamati hiyo ilipoku...
Imewekwa: February 3rd, 2020
Baada ya mvutano wa Muda mrefu, Shule ya Sekondari Isagehe sasa imeamuliwa isimamiwe na kuhudumiwa na Wana Kagongwa. Maamuzi hayo yametolewa na Kamati ya siasa ya Wilaya ya Kahama ilipokuwa katika zia...