Imewekwa: March 7th, 2017
Machi 8, 2017, Wana Kahama wataungana na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Afisa Maendeleo ya Jamii Wa Mji wa Kahama Ndg. Robert Kwela amesema kuwa Maadh...
Imewekwa: March 2nd, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Zainab Telack ameahidi kuchangia bati tisini (90) kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati Mtaa wa Mhungula Mjini Kahama iwapo wanachi watajitolea kujenga boma. Amesema hayo katik...
Imewekwa: March 1st, 2017
Halmashauri ya Mji Kahama kupitia Idara ya Mifugo na Uvuvi inatarajia kuanza zoezi la Kupiga chapa Ng'ombe wote waliopo ndani ya Mji. Afisa Mifugo na Uvuvi wa Mji wa Kahama Ndg. Constantine Lugendo am...