Imewekwa: October 12th, 2022
Tumepokea Bilioni 1.2 ikiwa ni kwaajili ya Maandalizi ya Kupokea Kidato cha Kwanza 2023, Fedha hizo zinakwenda kujenga Madarasa 60 kwenye shule 14 za Sekondari.
...
Imewekwa: September 24th, 2022
Mapema leo limefanyika Bonanza lililowakutanisha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama na Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Bonanza lilikua na lengo la kuimarisha mahusiano ya Halmashauri hizo mbili, na l...