Mkurugenzi wa Mashindano TFF Ndg. Salum Madadi na timu ya viongozi wa Mpira Wilaya ya Kahama Mwishoni mwa Wiki iliyopita walifika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama na kujadili uwezekano wa kuboresha Uwanja wa Halmashauri Maarufu kama Uwanja wa Taifa.
Mkurugenzi Wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Ndg. Anderson Msumba amewataka viongozi hao kuwasilisha Mpango kazi wa Marekebisho hayo ili aweze kuona kipi kianze na kianzie wapi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa