Imewekwa: March 2nd, 2019
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuweka sheria itakayomtaka kila mtanzania lazima kuwa na Bima ya Afya. Amebainisha hayo wakati akiongea kwenye Mkutano wa ha...
Imewekwa: March 1st, 2019
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa utekelezaji wa ahadi zilizowekwa na Rais zinaweza kufanywa na Mkurugenzi kwani ndio mtekeleza wa ilani ya Chama Tawala kwa ngazi ya Halmashauri. Am...
Imewekwa: February 5th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack amehimiza ukamilishaji wa Hospitali ya Mji wa Kahama kwa kuzingatia viwango vya Ubora. Ametoa kauli hiyo mapema leo alipokuwa kwenye ziara ya Kikazi Wilaya...