Timu ya Wataalamu 'CMT' ya Halmashauri ya Mji wa Kahama imefanya ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa vumba vya madarasa inayoendelea ndani ya Halmashauri. Ziara hiyo imefanywa mapema leo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Timu ya Wataalamu ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba.
Katika ziara hiyo Bw. msumba amewataka wajumbe kuhakikisha kila mtu anatimiza wajibu wake ili malengo yaweze kutimia.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa