Halmashauri ya Mji wa Kahama imeshika nafasi ya tatu kitaifa katika ufaulu wa mithani ya kidato cha nne 2018. Hii ni nafasi moja chini ambapo mwaka 2017 ilishika nafasi ya pili. Bonyeza hapa kusoma Mpangilio wa Ufaulu kwa Halmashauri.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa