• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

"Wakamatwe wamiliki wa Mifugo inayozurura Mjini badala ya Mifugo yenyewe" Diwani Kahama

Imewekwa: April 24th, 2018

Diwani wa Kata ya Nyihogo Mhe. Shadrack amewataka maafisa Mifugo wa Halmashauri ya Mji Kahama kuwakamata wamiliki wa mifugo inayozurura badala ya mifugo yenyewe. Hoja hiyo imekuja kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha Robo ya tatu Mji wa Kahama kilichofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya ji Kahama.

Awali alisimama Afisa Mifugo na Uvuvi wa Mji wa Kahama Ndg. Constantine Lugendo na kuelezea oparesheni inayoendelea ya kukamata mifugo yote inayozurura mjini na kwenda kuifungia Nyihogo kwenye majengo yaliyokuwa yakitumiwa na Halmashauri hiyo kisha  kuwapiga faini wamiliki.

Akitoa ufafanuzi juu ya hilo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kahama Ndg. Anderson Msumba amesema kuwa kwa mujibu wa sheria za Miji mifugo inatakiwa kufugiwa ndani "Zero grazing" na mifugo ya Nguruwe hairuhusiwi kabisa katika makazi ya watu kwani ni kero kwa majirani kwa harufu kali ukizingatia viwanja vingi vya mjini ni "High density".

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO January 01, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Naibu Meya Manispaa ya Kahama ahimiza Ulipaji wa Ankara za Hati

    April 16, 2025
  • Tangazo la Mikopo ya Asilimia Kumi

    March 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa