Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba pomoja na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Abel Shija na Wataalamu wote wa Mji wa Kahama wanawatakia wananchi wote sherehe njema za Krismasi na Mwaka mpya.
Tusherehekee kwa amani na tukijua kuwa tuna wajibu wa kuijenga Kahama.
Mungu awabariki sana.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa